Mahali
ni pale pale Club AQ,njoo uone vijana waliofika fainali wakiwania
nafasi ya kurekodiwa audio na video huku ukipata burudani safi toka kwa
wazee wa kulalisha Jambo Squad,ni kuanzia saa 4 usiku,jumamosi hii kwa
kiingilio cha Tsh5000 tu,,,
Rap Race imedhaminiwa na Grandmaster Productions,Sosh Graphix,Triple A fm,Radio 5,Sibuka fm,Tv Sibuka,Club AQ na Helping Hands